ELIMU KWANZA

ELIMU KWANZA
KWETU FEDHA SIO KIPAUMBELE.

Friday 4 April 2014

KIJANA AUAWA KATIKA MZOZO WA MAPENZI


Polisi mjini Nairobi wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu anayedaiwa kumuua mwenzake kwa kumdunga kisu.
Tukio hilo lilifanyika siku ya Jumatano mtaani Komarock viungani mwa mji wa Nairobi ambapo wawili hao inaarifiwa walikuwa wanazozania msichana mmoja mpenzi wa mmoja wa vijana hao.(Hudugu Ng'amilo)
Maafisa hao wanamtafuta mshukiwa ambaye anadaiwa kumdunga Geoffery Onyango mwenye umri miaka 16 kisu kifuani alipokuwa akirejea nyumbani kutoka shuleni.
Wenzake wanasema kuwa wawili hao walikuwa na ugomvi kati yao kabla Onyango kudungwa kisu.
Hatimaye alikimbizwa hospitalini lakini alifariki akipokea matibabu.
Mkuu wa Polisi mjini Nairobi alisema kuwa bado wanaendelea kumtafuta mshukiwa huyo.

CHANZO BBC

Sunday 16 March 2014

HIZI HAPA SIFA 10 ZA MWENYE MAPENZI YA KWELI . . .

Mpenzi wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada.

Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili .
Ni yule atayekuwa tayari kukusikiliza kwa kile utakachosema, hatojali umeongea baya au zuri

Atakuwa na wewe wakati wa shida na raha. Hatakuwa mtu wa kuvizia vizia na kujisogeza wakati ukiwa na raha.

Mpenzi wa kweli atakuheshimu na hatopenda kuwa kikwazo cha maisha yako, atakulinda daima.

Saturday 22 February 2014

YAJUWE MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI...!! SOMA HAPA KUFAHAMU

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.
Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.

Saturday 8 February 2014

Tendo la ndoa; Tiba mbadala ya maradhi ya moyo, ubongo, maumivu ya kichwa?



“Kwa mfano, tendo la ndoa linaondoa msongo wa mawazo iwapo unayetenda naye unampenda na amekupa maandalizi mazuri. Sidhani kama alimradi utende hilo tendo na yeyote litakusaidia,” anasema mtaalamu huyo.
Na Florence Majani, Mwananchi
Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi, lakini kwa wanandoa, tendo hilo linatajwa kuwa na manufaa mengi kiafya tofauti na faraja ya kawaida iliyozoeleka kwa wengi.

Wednesday 5 February 2014

Jinsi ya kuwa na aina zaidi ya kuvutia

Watu wengi wangependa kuwa katika maisha yako ya kuvutia zaidi wanawake, hata hivyo, sijui jinsi ya kufikia baadhi ya kuamini kwamba msingi wa mafanikio ni kuwa na fedha zaidi, lakini fikra vile ni makosa kufikiri kuwa ya pili lazima .. kuvikwa smartly, lakini ni kweli pia nguvu kubwa zaidi ni tabia zenu upande wa wanawake, wakati katika kampuni yao hapa. ni vidokezo juu ya jinsi ya kuwa ya kuvutia katika macho ya wanawake..